Shukrani Saudia kwa kujitoa kwa hali na mali: Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Umoja wa Mataifa umeisifu Saudi Arabia kwa jinsi inavyojitoa kwa hali na mali katika kusaidia majanga yanayokumba ukanda huo. Ni kauli ya Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliyoitoa wakati alipokutana na waandishi wa habari mjini Riyadhi, baada ya mazungumzo yake na Mfalme Salman bin Abdulaziz wa nchi hiyo. Ban ambaye yuko Saudia [...]