Wadau wa misaada ya kibinadamu na amani wazuru Sudani Kusini




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu uratibu wa misaada ya kibinadamu Valerie Amos na mjumbe wa amani na upatanishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO Forest Whitaker wako ziarani nchini Sudani Kusini ili kutathimini hali ya kibinadamu na kielimu kwa watu walioathiriwa na mgogoro. Wakiwa nchini humo Bi Amos [...]