Idadi ya wakimbizi wa ndani Ukraine yakabiria Milioni




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeripoti kuwa mapigano huko Mashariki ya Ukraine kwenye eneo la Donetsk yamesabaisha watu wengi zaidi kukimbia makwao na kwa hivyo kuongeza idadi ya wakimbizi wa ndani kufikia karibu watu milioni moja.Wizara ya Sera ya Jamii ya Ukraine imesema idadi ya wakimbizi wa ndani kote nchini ni [...]