Hafla yafanyika kuadhimisha wiki ya uwiano baina ya imani mbalimbali




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Hafla maalum imefanyika leo kwenye Umoja wa Mataifa kuadhimisha wiki ya uwiano baina ya imani mbalimbali za kidini. Katika ujumbe wake, Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa, amesema, kutokana na hali ilivyo duniani sasa, ujumbe wa amani na kutenda wema ni muhimu mno, hususan hali ya kutovumiliana na ubaguzi miongoni mwa jamii nyingi. "Wakati kutovumiliana, [...]