Licha ya matumaini, hali ya Guinea Bissau haijatulia




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Nchini Guinea Bissau, kuna matumaini ya kurejesha utulivu na maridhiano nchini humo, serikali ikijitahidi kuimarisha mamlaka za kitaifa, kwa mujibu wa ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa iliyojadiliwa leo katika Baraza la Usalama. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya. (Taarifa ya Grace) Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu nchini Guinea Bissau, Miguel Trovoada, ambaye pia [...]