Maendeleo yoyote ya jamii yajali utu wa binadamu: Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kumefanyika tukio maalum la maadhimisho ya miaka 20 tangu mkutano wa dunia kuhusu maendeleo ya jamii huko Copenhagen, Denmark ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema umaskini bado ni jambo ambapo kizazi cha sasa kinapaswa kutokomezwa. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Hotuba [...]