Ufuatiliaji wa kuenea kwa Ebola bado changamoto:Ging




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mkurugenzi wa operesheni za ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na usaidizi wa kibinadamu, OCHA, John Ging amesema kuongezeka kwa visa vipya vya Ebola siku za karibuni huko Liberia, Guinea na Sierra Leone kumeibua hoja kuhusu uthabiti wa hatua za kufuatilia watu wote waliokuwa na makaribiano na wagonjwa wa Ebola. Akizungumza na waandishi wa habari [...]