Baraza lalaani vikali mashambulizi ya Boko Haram




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mwendelezo wa mashambulio yanayofanywa na kikundi cha kigaidi cha Boko Haram dhidi ya raia na askari. Miongoni mwa mashambulio hayo niyale ya tarehe Tatu na Nne Februari kwenye mpaka kati ya Nigeria na Cameroon ambako askari wa 26 na raia waliuawa na wengine walijeruhiwa. [...]