Mdungusi Kakati na manufaa yake kwa afya ya binadamu:FAO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mmea uitwao Dungusu kakati, au kwa kiingereza Cactus pear umetajwa na shirika la chakula na kilimo duniani, FAO kuwa zao la asili kwa mwezi huu wa Februari likiwa na manufaa kwa lishe na afya ya binadamu. FAO inasema mmea huo wa jamii ya Mpungate hujulikana kama mkate wa maskini kwenye maeneo ya ukame kwani majani [...]