Elimu ya chekechea yapigiwa chepuo Msumbiji




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Benki ya dunia kwa kushirikiana na washirika wa elimu wanapigia chepuo elimu ya awali, maarufu kwa jina chekechea nchini Msumbiji. Lengo ni kuhakikisha watoto wengi kadri iwezekanavyo wanajiunga na chekechea kabla ya kuijunga na elimu ya msingi nchini humo. Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayao.