Umoja wa Mataifa walaani vurugu kusini mwa Lebanon




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Jumatano asubuhi, maroketi yalirushwa nchini Israel kutoka upande wa Lebanon, jeshi la Israel likijibu kwa kufyatua risasi, amesema Stephen Dujaric msemaji wa Umoja wa Mataifa alipoongea na waandishi wa habari siku ya Jumatano. Amesema mlinda amani mmoja wa Umoja wa Mataifa ameuawa wakati wa mashambulio hayo na kwamba uchunguzi unaendelea ili kufahamu sababu ya kifo [...]