MINUSMA yachunguza vifo vilivyotokea Gao




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Mali, MINUSMA, unaanza kuchunguza vifo vilivyotokea wakati wa maandamano yaliyofanyika jumanne, mjini Gao. Stephane Dujarric, msemaji wa Umoja wa Mataifa, amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari mjini New York. Amenukuu MINUSMA ikieleza kuwa ilitumia mabomu ya kutoa machozi na kufyatua risasi hewani ili kuzuia waandamanaji wasiingie kwenye jengo [...]