Miaka 70 baada ya Auschwitz Birkenau bado tunachukiana:Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jumatano limekuwa na tukio maalum la kumbukizi ya wahanga wa mauaji ya Holocaust yaliyofanywa na manazi wa kijerumani miaka 70 iliyopita ambapo Katibu Mkuu Ban Ki-Moon amesema kiwango kile cha mauaji kinatisha hadi leo hii. Kambi ya Auschwitz Birkenau ambayo ilikuwa kitovu cha mauji hayo ilikombolewa na majeshi ya [...]