Mpango wa EU kuibua ajira Milioni 2.1 Ulaya: ILO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Kazi Duniani, ILO limesema zaidi ya fursa za ajira mpya Milioni 2.1 mpya zitapatikana kufikia katikati ya mwaka wa 2018 kutokana na mpango wa miaka mitatu wa uwekezaji uliowasilishwa na Rais wa Tume ya Ulaya, Jean-Claude Juncker. Ripoti ya ILO iitwayo Mkakati wa uwekezaji uliojikita katika kutengeneza nafasi za ajira, inaonyesha kuwa uwekezaji [...]