Summary: Wakati mkutano kuhusu watu wenye ulemavu ukifanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifam, New York, imeelezwa kuwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC wanawake wanateseka kutokana na mgogoro wa siku nyingi ambao umesababisha ulemavu kwa waume zao. Hali hiyo tete imewalazimu wanawake hao waendelee kukimu familia zao sambamba na kubeba jukumu la kuwahudumia [...]