Maelfu ya watu wapoteza makazi CAR: UNHCR




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR linaonya kuwa zaidi ya watu 850,000 wamepoteza makazi yao nchini Jamhuri ay Afrika ya Kati CAR kufuatia mapigano yanayoendelea. Akiongea mjini Geneva, Msemaji wa UNHCR William Spindler amesema kuwa uwezekano wa idadi hiyo kuongezeka ni mkubwa wakati huu ambapo shirika hilo linahaha kunusuru mgogoro huo uliosababisha hali [...]