UM waangalia uamuzi wa ICC kuhusu Kenyatta




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Umoja wa Mataifa unatathmini uamuzi uliotolewa leo na mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC Fatou Bensouda wa kufuta mashtaka dhidi ya Uhuru Kenyatta.Msemaji wa umoja huo, Stephane Dujarric amesema hayo alipoulizwa na waandishi wa habari tamko la Umoja wa Mataifa kutokana na uamuzi huo wa Ijumaa. (Sauti ya Dujarric) “Bado tunaangalia [...]