Bila suluhu la kisiasa Sudan Kusini, hali itazidi kuzorota:OCHA




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mwaka mmoja tangu kuibuka kwa mapigano nchini Sudan Kusini, hali ya kibinadamu inazidi kuzorota na mamilioni ya watu waliokimbia makazi yao bado wamesaka hifadhi kwenye kambi za wakimbizi au misituni wakiwa na hofu ya kurejea makwao. Hiyo ni kauli ya Naibu Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na masuala ya kibinadamu, OCHA Kyung-wha [...]