UNAMID ipatiwe fursa ya kuchunguza tena Tabit:Ladsous




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa hii leo limejadili hali ya usalama na janga la kibinadamu linalogubikwa na kuongezeka kwa uhalifu, ukwepaji wa sheria na raia kukimbia makazi yao katika jimbo la Darfur nchini Sudan. Assumpta Massoi amefuatilia mkutano huo (TAARIFA YA ASSUMPTA) Akihutubia kikao hicho Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za [...]