Nyoka waleta kizaazaa huko Sudan Kusini




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Tuanzie Barani Afrika ambako, Watu 13 wamefariki dunia na wengine 10 kuwa katika hali mbaya baada ya kung’atwa  nyoka kwenye Jimbo la Warrap, nchini Sudan Kusini. Ripoti ya Amina Hassan inafafanua zaidi. (Ripoti ya Amina) Kamishna wa eneo hilo Wol Anei Anei amesema uwepo wa nyoka hao unafuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha nyoka kukimbilia maeneo makavu [...]