Wastani wa bei ya vyakula haikubadilika kwa miezi mitatu mfululizo




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la chakula duniani FAO limetoa ripoti ya bei ya vyakula kwa mwezi Novemba inayoonyesha kwamba kwa wastani bei ya vyakula haijapanda wala kushuka kwa miezi mitatu  mfululizo tangu mwezi Septemba. Vipimo vya bei vinazingatia mabadiliko ya bei ya vyakula ya kimataifa ikiwemo bei ya nafaka, nyama, bidha zitokanazo na maziwa, mafuta na sukari. Ripoti [...]