Hatua zinaridhisha Liberia juhudi zaidi zahitajika: Nabarro




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mjumbe maalum wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika mapambano dhidi ya Ebola, David Nabarro amekahitimisha ziara yake nchini Liberia, ziara yenye lengo la kutathimini juhudi za kuitokomeza ugonjwa huo, iliyomkutanisha na rais Hellen Johnson Sirleaf na wadau wengine. Baada ya kukamilisha zaira hiyo bwana Nabarro amesema ameridhishwa na kiwango cha makabiliano dhidi ya Ebola [...]