WFP yazindua kampeni ya kuchangisha fedha




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Baada ya kukumbwa na ukata na kulazimika kusitisha msaada wa chakula kwa wakimbizi Milioni 1.7 wa Syria, Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limezindua kampen ya saa 72 ya kuchangisha fedha kupitia mitandao ya kijamii. Lengo la kampeni hiyo ni kuchangisha dola Milioni 64 zitakazotumika kununua vocha za msaada wa chakula kwa wakimbizi hao [...]