Mitandao ya kijamii inawezesha usafirishaji haramu: IOM




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Udhibiti dhidi ya usafirishaji haramu ni mgumu kutokana na wasafirishaji hao kutumia mitandao ya kijamii katika kuratibu shughuli zao na hivyo ni suluhisho la pamoaj linahitajika. Akiongea na waandishi wa habari mjini New York msemaji wa shirika la kimataifa la uhamiaji IOM Leonard Doyle, usafirishaji haramu unakuwa kwa kasi akitolea mfano kuwa mwaka huu pekee [...]