Tukomeshe aina zote za utumwa: Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kumbukizi ya wahanga wa utumwa na biashara ya utumwa kupitia bahari ya Atlantiki kauli mbiu ikiwa ni ushindi dhidi ya utumwa kuanzia Haiti na kwingineko, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amezitolea wito serikali, asasi za kiraia na sekta binafsi kuungana kukomesha aina zote za [...]