Ebola yabinya ukuaji wa uchumi: Ripoti




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mlipuko wa Ebola unaendelea kukwamisha ukuaji wa uchumi kwa nchi zilizokumbwa na ugonjwa huo, imesema ripoti mpya ya Benki ya dunia ikisema hali ni mbaya zaidi Guinea, Liberia, na Sierra Leone. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Ripoti hiyo imetolewa leo wakati Rais wa Benki ya dunia Jim Yong Kim akianza ziara yake [...]