FAO yapokea msaada wa kukuza kilimo




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limepokea msaada wa zaidi ya Euro milioni tano kutoka serikali ay Ubelgiji  kwa ajili ya kusaida shughuli za shirika hilo za kulinda kilimo  cha kuinua kipato kwa ajili ya usalama wa chakula na uwezo wa kukabiliana na majanga asilia na migogoro ya kibinadamu.Taarifa kamili na [...]