Kinachoendelea Misri chatutia hofu:OHCHR




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ofisi ya  haki za  binadamu ya Umoja wa Mataifa, OHCHR imesema ina wasiwasi mkubwa na mambo yanayojitokeza nchini Misri na athari zake kwenye uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Wasiwasi huo unafuatia matukio ya mwishoni mwa wiki ambapo ambapo takribani watu watano wakiwemo maafisa usalama wawili waliuawa wakati wa mapigano kati ya waandamanaji na vikosi vya [...]