#IMAGINE yapata chepuo, kibao Chiquitita kunufaisha wasichana




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Tarehe 20 Novemba katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kulifanyika tukio maalum lililosheheni tumbuizo kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 25 ya mkataba wa kimataifa wa haki za mtoto. Watoto, watu wazima, wanadiplomasia walishiriki katika tukio hilo lililojumuisha uzinduzi wa mradi wa #IMAGINE wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, mradi [...]