Ebola na taswira mkanganyiko, UNMEER sasa yajielekeza Mali




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Taswira ya mwelekeo wa mlipuko wa Ebola ni mchanganyiko wa matumaini na hofu, amesema mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ebola, David Nabarro wakati akihutubia Baraza la usalama la Umoja huo lililokutana kujadili amani na usalama barani Afrika , angazio likiwa ni Ebola. Amewaambia wajumbe kuwa ushiriki wa jamii kwenye vita dhidi ya Ebola [...]