Tutafanya kila tuwezalo kukomesha Ebola- Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amewaambia waandishi wa habari mjini Washington, D.C kuwa, Umoja wa Mataifa utafanya kila uwezalo kuzisaidia nchi zilizoathiriwa na Ebola kuukomesha mlipuko wa homa hiyo, kuwatibu walioambukizwa, kuhakikisha kuwa huduma zote muhimu zinatolewa, na kutunza ustawi wa nchi na kuzuia kuenea kwa kirusi hicho katika nchi zingine. Ban [...]