Miaka 25 ya CRC, UNICEF yazindua mradi wa #IMAGINE




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kumefanyika maadhimisho ya miaka 25 ya mkataba wa kimataifa wa haki za mtoto ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limezindua mradi wa #IMAGINE unaolenga kuibua matumaini kwa mustakhbali wa watoto. Taarifa kamili na Joshua Mmali… (Taarifa ya Joshua) Nats… Ndivyo tukio hilo lilivyoanza na [...]