Tija pekee kwenye kilimo haitoshi tuweke na viwanda karibu:Kutesa




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Sam Kutesa amesema uwekezaji kwenye sekta ya kilimo uwe zaidi ya kuongeza tija kwenye sekta hiyo ambayo bado muhimu kwa maendeleo ya Afrika na hivyo kuinua kipato na kuweka uhakika wa chakula. Amesema hayo kupitia msaidizi wake Balozi Arthur Kafeero wakati wa tukio lililofanyika kwenye Umoja wa [...]