Tanzania inanufaika vilivyo kwa mkutano wa lishe :Dk Rashid




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mkutano kuhusu lishe ukiendelea mjini Roma Italia, wawakilishi mbalimbali wa nchi wameelezea namna unavyonufaisha nchi zao katika mustakabli mzima wa chakula na lishe. Miongoni mwao ni waziri wa afya wa Tanzania Dk Seif Rashid ambaye katika mahojiano maalum na Leda Letra wa radioya Umoja wa Mataifa amesema hii ni fursa kwa nchi yake kujifunza namna [...]