Watu ni kigezo muhimu cha maendeleo kwani ndio utajiri halisi wa nchi: Chauwdry




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon amesema wabunge ni muhimu kwa kila sehemu ya ajenda ya kuendeleza amani, maendeleo na haki za binadamu akisema wao ni daraja baina ya wananchi na jamii, taifa na mataifa. Ametoa kauli hiyo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York wakati wa mkutano wa Umoja [...]