Uzalishaji wa gesi chafuzi ufikiwe katikati au mwisho wa karne:UM




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira, UNEP imesema ili kuzuia kuongezeka kwa joto kwa nyuzi joto mbili kwa kipimo cha Selsiyasi pamoja na kuzuia athari mbaya za mabadiliko ya tabianchi ni lazima uzalishaji wa gesi chafuzi ya ukaa duniani upunguzwe ifikapo katikati au mwisho wa karne hii. Kwa mujibu ya ripoti [...]