Maelfu ya raia wa DRC wakimbia Katanga, UNHCR yaingiwa hofu




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeeleza wasiwasi wake juu ya ghasia zinazosababisha hali mbaya ya kibinadamu kwenye jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Taarifa  kamili na Amina Hassan (Taarifa ya Amina)  UNHCR imesema ghasia zilizotokea katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita zimesababisha wakimbizi wapya 71,000 ambao ni kando [...]