Watu 370,000 hufariki dunia kila mwaka kwa maji –WHO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO imesema kuwa kwa wastani zaidi ya watu 370,000 hufariki dunia kila mwaka kwa maji wanapozama, huku ikitaja pia hatari inayowaandama watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Taarifa kamili na Joshua Mmali (Taarifa ya Joshua) Ripoti hiyo imebainisha maeneo ambayo matukio hayo yanajitokeza ni pamoja [...]