Machafuko Iraq yasababisha madhila kwa raia: OCHA




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Machafuko yanayoendelea nchini Iraq yamesabaabisha zaidi ya watu milioni moja na laki tisa kupoteza na kuhamia katika sehemu tofauti . Taarifa zaidi na Joseph Msami (TAARIFA YA MSAMI) Kwa mujibu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaaada ya kibinadamu OCHA, mapigano yanayoendelea hususani vuguvugu la kundi la dola ya kiisilamu  ISIL limesabisha mtawanyiko [...]