Fahamu kuhusu kisukari




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ugonjwa wa kisukari ni miongni mwa maugonjwa yasiyo ya uambikzwa na husababishwa na mambo mbali mbali ikiwemo mienendo ya maisha. Kufahamu zaidi juu ya ugonjwa huu ikiwamo namna ya kukabiliana nao na undani wa visababishi vyake, ungana na Geoffrey Onditi wa Radio washirika KBC nchini Kenya katika mahojiano maalum.