UNMEER yaomboleza Kifo cha Rudasingwa




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kushughulikia Dharura ya Ebola, UNMEER, unaomboleza kifo cha Marcel Rudasingwa- Naibu Katibu Mkuu ambaye pia alikuwa Meneja wa dharura wa Ujumbe huo nchini Guinea. Katibu Mkuu alimteua Rudasingwa, raia wa Rwanda, tarehe 8 Oktoba kuchukua nafasi hiyo, lakini aliaga dunia ghafla kutokana na sababu za kiasili hii leo. Katika [...]