Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea masikitiko yake kuhusiana na madai ya ubakaji wa halaiki katika eneo la Thabit, Darfur Kaskazini. Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Darfur, UNAMIDÂ ulitembelea Thabit tarehe 9 Novemba, lakini uwepo mzito wa kijeshi na polisi ulifanya uchunguzi wa kina kuwa [...]