Kutesa aisifu kazi ya Baraza la Haki za Binadamu




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, leo limesikiliza ripoti ya kila mwaka ya Baraza la Haki za Binadamu, ambayo imewasilishwa na Rais wa Baraza la Haki za Binadamu, Baudelaire Ndong Ella. Akizungumza kabla kumkaribisha Bwana Ndong Ella kutoa ripoti hiyo, Rais wa Baraza Kuu, Sam Kutesa, amesisitiza umuhimu wa Baraza la Haki za Binadamu "Kwa [...]