Hali ya sasa kuhusu mzozo wa Ukraine si endelevu -Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema kuwa ulimwengu umegawanyika kuhusu mzozo wa Ukraine kama nyakati za vita baridi, na kuonya kuwa hali hiyo ya sasa haiwezi kuwa endelevu kwa ajili ya amani ya dunia nzima na uchumi. Katibu Mkuu amesema hayo wakati mkutano wa siku mbili wa nchi 20 tajiri zaidi duniani [...]