![Idhaa ya Redio ya UM show](https://d3dthqtvwic6y7.cloudfront.net/podcast-covers/000/033/568/small/idhaa-ya-redio-ya-um.jpg)
Summary: Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu uratibu wa misaada ya kibinadamu Valerie Amos na mjumbe wa amani na upatanishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO Forest Whitaker wako ziarani nchini Sudani Kusini ili kutathimini hali ya kibinadamu na kielimu kwa watu walioathiriwa na mgogoro. Wakiwa nchini humo Bi Amos [...]